RAPA machachari Brix
The Chef, ameibuka na kumshutumu 50 Cent akisema amemuibia wimbo wake
mpya alioufanyia Sonny Digital.
Brix The Chef amesema anasikitika kuona gwiji huyo akishindwa kuwa
muungwana wa kuketi naye na kuzungumza kama angekuwa anautaka wimbo huo
na badala yake kuamua kumuibia.
Alisema, inamuuma sana kwa kuwa pindi msanii mkubwa kama 50 Cent akitoa
kitu wewe ukitoa tena hata kama ndie mwenye umiliki wa kazi hiyo
utaonekana unakopi tu.
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/12/brix-chef-amshika-wizi-50-cent.html
Copyright © saluti5

0 comments:
Post a Comment