Tuesday, December 8, 2015

 

MTANGAZAJI mahiri wa kipindi cha wanawake live,Joyce Kiria ameibyka na kuwataka wanawake wanaonyanyaswa na waume zao kuangalia ustarabu mpya wa kutafuta mume mwingine kuliko kuendelea kunyanyasika.

Ushauri huo wa Kiria ameutoa kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook ambapo amesema haina haja ya wanawake kuendelea kuumizwa na wanaume wakatili wakai kunanjia ya kuwaepuka

Hakuna kufata mateso kwa mume bibi, kama hakupi mahaba temana nae tuu, mbona wapo wanaokuthamini! Usikae na mwanaume...

Posted by Joyce Kiria Wanawakelive on 7 Disemba 2015

0 comments:

Post a Comment