Posted by Williammalecela.com on Thursday, December 10, 2015
 |
| Dr. Augustine Mahiga aliyeteuliwa leo kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, aliwahi kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa, Balozi wetu wa Kudumu UN na Muwakilishi wa UN Sudan. Pia alikuwa ni mmoja wa wagombea wa Urais ndani ya CCM. |
0 comments:
Post a Comment