Posted by Williammalecela.com on Tuesday, December 22, 2015
 |
Mkuu Mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amosa Makalla alipofanya ziara kustukiza uwanja wa Ndege KIA sasa hivi.
Amewapongeza uongozi wa KADCO, wafanyakazi na vyombo vya Ulinzi kwa
kukamata nyara za serikali na utoroshaji wa madini ikiwa ni utekelezaji
wa maagizo aliyoyatoa trh 24 November mwaka huu kuwa uwanja huo isiwe
uchochoro wa madawa ya kulevya, madini na nyara za serikali . Raia
watatu kwa matukio matatu wameshakamatwa kwa kutaka kutorosha madini na
nyara za serikali Ameagiza menejimenti kuwaweka pembeni watumishi 6
wa Kadco walilo husika na kusaidia watuhumiwa katika matukio matatu
ambao kwasasa kesi zao zipo polisi kwa uchunguzi. |
 |
| Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla akizungumza na watendaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA baada ya kuwashitukizia ghafla muda mchache uliopita. |
0 comments:
Post a Comment