Tuesday, December 22, 2015


Mwanadada kiwango wa Bongo flava Shilole, ameamua kuvuka Boda mpaka Nigeria kurekodi ‘ngoma’ na mtayarishaji aliyemtoa Yemi alade aitwae Selebobo.

Selebobo amegusa Nyimbo kadhaa kama Johnny ya Yemi Alade, Bikoo na nyingine kadhaa.

Shishi hajaweka bayana zaidi kuhusiana na ‘mkwaju’ huo.

0 comments:

Post a Comment