Diva wa bongo fleva kutoka Tanzania Lina Sanga ambaye alikuwa Nigeria akifanya show ya SoundCity Urban Blast Festival 2015 amesema uoga unampoza na kumuangusha kwenye show zake.
Lina anasema ” Naona njia nyeupe ya mimi kuwa staa wa kimataifa, kikubwa kujiamini na kujikubali, uoga huwa unaniangusha ,sura ngeni, muziki wangu mgeni, lugha niliyotumia pia labda wasingenielewa ila ikawa kinyume ,show ikawa kali mpaka raha “.
Lina alifanya show na Feza Kessy
0 comments:
Post a Comment