Mapya
yameibuka kuhusiana na tukio la kuuawa kwa wafanyabiashara Yasin Rashid
na Samson Michael ‘Ngosha’ wanaodaiwa kupigwa risasi jijini Dar es
Salaam na askari wa kikosi maalum cha
kudhibiti ujangili kufuatia taarifa zinazodai kuwa mmoja wa marehemu hao alikuwa akitumiwa na askari kuwapa taarifa za mauziano ya meno ya tembo kwenye hoteli moja maeneo ya Sinza saa chache kabla ya kifo chake.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:
Post a Comment