Friday, December 11, 2015

Mkuu Mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla afungua mkutano wa wachimbaji, Brokers na Master Dealers wa Tanzanite mjini Arusha . Mkutano umehusisha Kamati za Ulinzi na usalama za mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro, manyara na watendaji wa wizara ya Nishati na madini kudhibiti Utoroshaji madini na kuhakikisha madini yanawanufaisha watanzania na kuchangia vizuri Pato la Taifa






Ponce Gawe Hapo ni kazi tuu Amos Makalla tunakuaminia ktk ubora wako kiutendaji
Khalid Mohammed Zaid
Khalid Mohammed Zaid Hongera mh Makala kwa speed yako ya kazi. Chaps kazi kwa nguvu.
Frank Mwananziche
Frank Mwananziche Kazi njema mkuu.
Irene Kitaa
Irene Kitaa Hili ndilo tulizokuwa tunalisuburi Kwa muda mrefu. Asante Mkuu wa Mkoa Amos Makalla Kwa speed nzuri ya kuleta maendeleo mkoani kwetu na Tz kwa ujumla.
Asha Ally
Asha Ally Mwenyez mungu akutangulie
Like · Reply · 1 · 7 hrs
Denis Wallace
Denis Wallace Ongera mheshimiwa
MwanaAsha Ponda
MwanaAsha Ponda Nice Muheshimiwa
Agness Onesmo Kalinga
Agness Onesmo Kalinga Nakukubali ulisema kazi kwanza siasa bdae
Elihaika Dafrosa
Elihaika Dafrosa Chapa kazi mhesh.tunakuaminia.

0 comments:

Post a Comment