Mkuu wa mkoa asherekea sikukuu ya Xmass kwa style ya aina yake. Amekula Chakula na wafungwa na mahabusu wa Gereza la Karanga, afunga mashindano ya MAKALLA CUP ndani ya magereza kwa timu ya Barcelona( mahabusu) kuibuka mabingwa kwa kuwafunga timu ya Umoja( wafungwa) bao 1 kwa 0.
Wafungwa wamemshukuru mkuu wa mkoa kwa kuchangia nyama mchele na soda




0 comments:
Post a Comment