RAIS,Dr John Magufuli amewashukuru watanzania wote waliojitokeza kuunga kufanya usafi katika maeneo yao ikiwa ni siku maalumu ya kusherekea Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika
Watanzania wenzangu ninawapongeza kujumuika nami kwa kuadhimisha siku ya Uhuru na Jamhuri.Nimefurahi na nimeguswa sana mlivyojitokeza.1/2.
— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) December 9, 2015
Tumeshiriki kwa wingi wetu siku hii muhimu kwa kufanya kazi ktk maeneo mbalimbali. Uhuru na Kazi, Hapa Kazi Tu. Mungu Ibariki Tanzania.2/2.
— Dr John Magufuli (@MagufuliJP) December 9, 2015

0 comments:
Post a Comment