Saturday, December 26, 2015






Harmonize ni moja kati ya wasanii walioibuka kwa kasi katika tasnia ya muziki hapa nchini, achilia uwezo wa kuimba pekee..! bali namna pia anavyoweza kulimiliki jukwaa, ni wengi hawajawahi kumshuhudia msanii huyu pindi awapo stejini, sasa hapa leo nakuweka karibu naye upate kushuhudia baadhi ya matukio yaliyojiri katika show yake ya kwanza aliyoifanya usiku wa Dec 25 2015 tangu ameachia ngoma yake ya ‘Aiyola’

Hii ilikuwa katika ukumbi wa Lacasa Chika uliopo Tanga
IMG_0001
IMG_0015
IMG_0033
IMG_0071

0 comments:

Post a Comment