Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya sikukuu zenye mvuto duniani kote, imekuwa kawaida kwa vijana na watu wa rika tofauti tofauti kusherehekea kwa namna yao ya kipekee.
Yamoto Band wakali wa hit single kadhaa ikiwemo kama ‘Cheza kwa Madoido’wameachia single yao mpya Mama, ambayo inafanya vizuri kama nyimbo zao nyingine, waliamua kuanzia Geita ziara yao ya ‘Mama Tour‘ kwa kuparty na watu wa Geita wakiwa na live band.
0 comments:
Post a Comment