PROFESSA MUHONGO UZI NI ULE ULE
Na Happiness Katabazi
ASANTE SANA RAIS JOHN MAGUFULI "NGOSHA" , kwa Kumteua msomi Professa Sospeter Mwijarubi Muhongo Kuwa Waziri wa Nishati na Madini Leo wakati Ulipokuwa ukatangaza Baraza Lako la mawaziri.Ngosha Una akili sana.

Itakumbukwa Kuwa Profesa Muhongo alijiudhuru nafasi ya waziri wa
Nishati na Madini Katika serikali ya awamu ya nne iliyokuwa ikiongozwa
na rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Kwa lugha nyepesi Profesa Muhongo alikuwa ni muathirika wa siasa za Chuki, uzushi zilizokuwa zimetamalaki Katika Utawala uliopita lakini Ikulu kupitia vyombo vyake ilifanya uchunguzi wake kuhusu Muhongo na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Eliachim Maswi ambaye kwasasa ni Katibu Tawala Mkoa wa Manyara kama walikuwa wamehusika Katika skendo ya Escrow na uchunguzi ulionyesha walikuwa hawajahusika licha baadhi ya wanasiasa ,wafanyabiashara na wananchi walimshikia Bango Kuwa ni fisadi kuusikia.
Siri Siri Muhongo licha ya kupakwa matopwe sana lakini kuna baadhi ya watu ambao hatuna ukaribu naye na wala hajawahi kuonana naye tulisimama kidete adharani kumtetea Kuwa anasingiziwa na tukiishi wa lakini mwisho wa siku ripoti ya Ikulu ilikuja kumsafisha na hivyo kumuweka Kwenye rekodi safi na ikawashushua wazushi.
Wito wangu wa Muhongo, kwanza wasamehe watesi wako wote waliokuzulia Janga la Esrwor, Kwani utetezi huu ni Ishara kwamba ni bakora ya Mungu dhidi ya watesi wako.
Nenda wizarani kafanyekazi uliyotumwa na rais wako na siyo vinginevyo.Katumie taaluma ,maarifa yako ,busara na Hekima kuiongoza Wizara hiyo.Naamini jungu lile uliligwa licha lilikuumiza pia limekupa Mafunzo Fulani.Hao ndiyo Binadamu uwaelewe na uwavumilie ila Ishi nao kwa makini.
Sasa wale wachawi "wazushi" mlimzushia Muhongo kuhusu Escrow hadi aka chafuka na akajiudhuru kama mnaubavu wa kufanya uzushi wenu katika Utawala huu wa NGOSHA zusheni tena tuwaone .
Na kitendi hiki cha Magufuli kumteua Muhongo kushika tena nafasi hiyo ya Waziri wa Nishati na Madini kimetoa funzo pia Magufuli aogopi maneno ya watu na amesikiliza kilio cha baadhi ya watu ambao walikuwa wanapenda sana Muhongo arudishwe katika wizara ile ya Nishati na Madini na mimi nikiwa ni mmoja wao kwasababu Muhongo ni miongoni mwanasiasa wachache sana ambao ni wakweli,wawazi ,wenye misimamo isiyoyumba na ni wazalendo.Kila la kheri Profesa Muhongo Mungu akutangulie.
10/12/2015.
0716 774494

0 comments:
Post a Comment