Muigizaji na mchekeshaji maarufu Afrika kutoka kiwanda cha filamu Nigeria Osita Iheme (Pawpaw), amezindua hotel yake ya kifahari aliyoijenga kwa miezi 7.
Hotel hiyo iliyopo mjini Imo, inaeneo kubwa la kustarehe na kupumzika likiwa na ghorofa kadhaa kwenda juu.Wikiendi iliyopita aliizindua Rasmi akishirikisha wasanii wenzie, wanamuziki na familia yake


0 comments:
Post a Comment