Monday, December 28, 2015

1220-chris-brown-scott-disck-1-oak-splash-4
Scott Disick amekuwa rafiki bora wa rnb staa Chris Brown baada ya wawili hawa kusema wanasaidia kukaa bila kutumia pombe au kilevi chochote.

Fahamu kuwa Chris na Scott wako kwenye wakati mgumu wa maisha yao sababu wote wanajitaidi kuacha kutumia pombe ili waweze kuwa sawa na familia zao.
Chris amekuwa akifuatiliwa na mama wa mtoto wake Royalty ‘Mia Guzman’ kama anaweza kuwa baba bora.
chris
CHANZO;SAMMISAGO

0 comments:

Post a Comment