Pop staa Janet Jackson amesitisha ziara ya show zake za “Unbreakable World Tour” ili kufanyiwa upasuaji.
Janet Jackson hajasema ni upasuaji wa aina gani anafanyiwa ila ameomba maombi ya mashabiki kwake na familia yake. Janet ametoa album mpya Unbreakable baada ya ukimya wa miaka saba na ilishika namba moja kwenye chati za bilboard.
CHANZO;SAMMISAGO
0 comments:
Post a Comment