WAZIRI wa afya,wanawake jinsia na watoto,Ummy Mwalimu amesema kuwa Wizara yake ipo tayari kufanya kazi na watanzania wote ambao wanasumbuliwa na ukiritimba wa huduma mbovu zinazotolewa na watumishi wa afya,ambapo aameagiza watu wote wanaokumbana na matatizo kama hayo kuwasiliana naye moja kwa moja kupitia email yake
Ni kweli. Tupo tayari kupokea maoni ya wadau yanayolenga kuboresha utoaji wa huduma za afya - umwalimu@yahoo.com https://t.co/JG9MZsLbDw
— Ummy Mwalimu (@UMwalimu) December 14, 2015

0 comments:
Post a Comment