Saturday, December 12, 2015

Seyi-Shay
Blog za udaku nchini Nigeria zinasema mwimbaji kutoka Nigeria Seyi Shay ameanza kuitwa Malkia wa Afro Pop baada ya album yake mpya kuonekana kuwa na ubora wa kipeke nchini Nigeria.

Album yake inaitwa Seyi or Shay, yenye hits zake na inayozungumzia stori ya maisha yake mpaka kuwa na mafanikio. Hivi karibuni msanii Yemi Alade alikuwa miongoni mwa wasanii wa kike ambao wangepewa jina hilo ila mashabiki wamechagua upande mwingine.
Album ina wasanii wakubwa walioshirikishwa kwenye nyimbo tofauti kama In Public Ft Cynthia Morgan, Mary ft Phyno, Healer Ft Sound Sultan, No Vacancy, Loud Ft Femi Kuti na Pack and Go Ft Olamide.

0 comments:

Post a Comment