Sunday, December 27, 2015

December27zimenifikiaheadlinesza mkali wa hit singles za AshawGolibna SweetieMr Flavour, asubuhi ya December 27 ameingia katika headlines kwao Nigeria, baada ya kuaminika kuwa staa huyo yupo katika mipango ya kufunga ndoa ya siri siku ya Jumatatu ya December 28.

Flavour anatajwa kutaka kumuoa babymama wake wa kwanza Sandra Okagbue kwa siri kutokana anaepuka zisijejitokeza drama za babymama wake wa zamani Anna Banner na familia yake ambao hawana taarifa za kuwa jamaa amepanga kuoa.
1663376_993aflavour-and-sandra-okagbue-expecting-baby-soon_jpeg96273d57edabac6337802863d797ee1f - Copy
Staa huyo wa hit single ya Ashaw ambaye alishirikishwa na Diamond Platnumz katika hit single ya Nana, hayupo ndani ya Nigeria anatajwa alisafiri kwa ajili ya kwenda kusherehekea Chrismass lakini anatajwa kurudi leo December 27 na kupanda ndege kuelekea Onitisha sehemu ambayo harusi yake ya kimila itafanyika. Uongozi wa MrFlavour umezipotezea stori hizo na kutosema chochote licha ya source kusema tayari marafiki wa Mr Flavour wana mualiko.

0 comments:

Post a Comment