Monday, December 21, 2015

Mtayarishaji wa Mashindano ya Ulimbwende Miss Tabora Mgalula Fundikira, majuzi alipoteza mtoto wake wa kwanza wa kiume mwenye umri wa Miaka 18 Lawi Fundikira aliyefariki baada ya kupata ajali ya Pikipiki. Marehemu Lawi alizikwa jana kwenye Makaburi ya Kisutu Mjini Dar.





"Lawi Fundikira He's rest in peace next his grandmother Sakina Yusuf no daught you are in safe hand son ...I ALWAYS LOVE YOU..."

0 comments:

Post a Comment