Inasemekana
kwamba kuna idadi kubwa sana ya wauguzi na baadhi ya watumishi wa
wizara ya Afya hasa mahospitali kwa kiasi kikubwa wamegushi vyeti vyao
vya sekondari na wengine hawana kabisa vyeti hivyo, wengi ndani ya
makazi yao wako matumbo moto wakisubiria fagio la
Magufuli.Inasemekana endapo fagio hilo litatua katika idara mbali mbali ndani ya wizara hiyo linaweza kuzoa watumishi wengi sana ambao kwa muda mrefu wamekua wafanyakazi wa umma ambapo hali hiyo inaweza kusababisha kupungua kwa wafanyakazi wengi sana.
Chanzo: Baadhi ya watumishi wa mahospitali.

0 comments:
Post a Comment