STAA wa Filamu Nchini.Wema Sepetu amembwaga vibaya Mpenzi wa aliyekuwa bwana wake wa zamani Diamond,Zari Hassani katika tuzo ya Nzumari za nchini Kenya,ambapo warembo hao walikuwa wanachuana katika kipengele cha Female Social Personality
Katika tuzo hizo ambazo mashabiki walikuwa wakipiga kura kuwachagua washindi,inasemekana Wema Sepetu alitumia vizuri nafasi hiyo kwa kuhamasisha watu wapige kura za nyingi kwake,kitu ambacho kilifanikiwa kwani mwanadada huyo anawafuasi wengi zaidi katika mitandao ya kijamii

0 comments:
Post a Comment