Kama alivyopata kusema Msanii Ben Paul kuwa Kiba anakuwa overrated halafu inamgharimu sana.
Uwezo na upeo wa msanii yeyote utaupima pia katika mahojiano mbalimbali na media,huwezi kudanganya umma na kuukimbia ukweli.
Nimeangalia
interviews kadhaa za Ali Kiba na kugundua kuwa hajiamini badala yake
zinakuwa zimejaa,mapozi,tambo,dharau,mashauzi na mambo ya ajabu ajabu.
0 comments:
Post a Comment