Sunday, January 3, 2016
“Katika Maisha Yangu Sikuwahi Kuwaza
Kuwa Itatokea Siku Nikajichora Tatoo But Diamond Nimtu Mwenye Mchango
Mkubwa Sanaaaa Katika Maisha Yangu Leo Hii Mimi Ninathaminika Kutoka
Kwenye Kunyanyasika Ninaheshimika Kutoka Kwenye Kudhalaulika Nimekuwa
Maarufu Na Kupata Uthamani Mkubwa Kupitia Yeye Sio tu Kwa Kipaji Nilicho
Nacho Kwani Wangapi Wanavipaji…??? Naisaidia Familia Yangu Kwa Kile
Nikipatacho Sihaba Akiwa Na Mchango Wake Mkubwa Sana…… Lakini Mwisho
Wasiku Haya Ni Maisha Nahii Ni Dunia Inamambo Mengi Sanaa Hasa Sisi
Vijana Ambao Niwepesi Wa Kujisahau Kinaweza Tokea Kitu Kidogo Sanaa
Ukasahau Wema Na Fadhira Ulizotendewa, Lakini Pia Mungu Ndio
Katukutanisha Na Karibia Watu Wengi Wanajua Tumekutanaje Kwamana
Nimekuwa Nikiulizwa Katika Vyombo Vya Habari Tofauti Tofauti So Watu
Wengi Wanajua Tulivyo Kutana But Hakuna Anaejua Tutaachana Vipi kwamana
Sisi Ni Binadamu Kuna Kifo Leo Na kesho Huwezi Jua Yawanadamu Ni Mengi
Siamini Kuwa Binadamu Wote Duniani Wanafurahia Mahusiano Na Ukaribu Wetu
Na Huwezi Shindana Na Binadamu Ukijua Yambele Wenzio Wanajua Yanyuma
Ndio Mana Yakujichora Hiii Picha Yake Amabayo Haitofutika Hadi Naingia
Kaburini Hata ikitokea Hatupo Pamoja Nikiitazama Hii Picha Itabaki Kama
Kumbu Kumbu Na Heshima Yangu Kwake Hadi Siku Yangu Ya Mwisho Haya Ni
Maamuzi Yangu Binafsi…..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment