Monday, January 4, 2016

  
Basi la Luwinzo (Dar-Njombe) limegongana na lori na kusababisha vifo maeneo ya Kinegembasi, kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi
 
Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limepata ajali asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. Inasadikika limeua baadhi ya abiria na majeruhi ni wengi. Ajali imetokea maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa (Mufindi). Hadi sasa, waliothibitika kupoteza maisha ni wawili. Majeruhi wengi wamepelekwa Hospitali ya Mafinga -sana-ajali.html#sthash.3P36RI32.dpuf

0 comments:

Post a Comment