Aliyekuwa mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.
Kwa
mujibu wa gazeti la Mtanzania, Tendewa
amefukuzwa kazi na mwajiri wake
ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa
kutekeleza majukumu yake ya kikazi.
0 comments:
Post a Comment