Aliyekuwa
mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda UKAWA
Mh.Edward Lowassa amelalamikia baadhi ya watendaji wa serikali kwa
kuwaandama na kuwatisha wananchi na wafanyabiashara waliokuwa wanaunga
mkono vyama vya upinzani na amezitaka idara zinazohusika kuchukua hatua
ili kuepusha matatizo yasiyo ya lazima.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment