Posted by Williammalecela.com on Friday, January 15, 2016
Celine Dion na mumewe Rene Angelil enzi za uhai wake.
Las Vegas, Marekani
Rene
Angelil, mume wa mwanamuziki mashuhuri duniani Celine Dion, amefariki
dunia akiwa na umri wa miaka 73, nyumbani kwao Las Vegas nchini Marekani
baada ya kuugua saratani ya koo iliyomsumbua tangu mwaka 2000.
0 comments:
Post a Comment