Posted by Williammalecela.com on Sunday, January 10, 2016
Wakati
viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano wamefanikiwa kutumbua majipu
katika ukwepaji kodi, ushuru wa bandarini na Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili, bado kazi hiyo ya kuibua ufisadi inaonekana kuwa kubwa zaidi
kwa mujibu wa taarifa mbalimbali za ukaguzi na hoja zilizokuwa
zinaibuliwa bungeni, kuna majipu uchungu sita yamebaki.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment