Monday, January 25, 2016




Rais magufuli ameamuru kurudi nyumbani mabalozi sita haraka akiwemo Dr Batilda Buriani, Dr Nsekela na wengineo.
Pia mkurugenzi mkuu wa NIDA Bw Mwaimu amesimamishwa kazi kuanzia sasa. 

taarifa zaidi inakuja.......

0 comments:

Post a Comment