"MEMBE....nahisi Anaumwa.....
....Magufuli alipoingia madarakani, Baba Membe alisema 'Afadhali Rais kazuia hizi safari, tulikuwa tunapishana hewani kama vile chini kuna moto"....
JUZI kasema "Watu lazima wasafiri Tanzania sio kisiwa".....Mgogoro wa Uchaguzi Zanzibar ulipoanza alisema
"Mabalozi wasituingilie mambo yetu ya ndani"....
....Magufuli alipoingia madarakani, Baba Membe alisema 'Afadhali Rais kazuia hizi safari, tulikuwa tunapishana hewani kama vile chini kuna moto"....
JUZI kasema "Watu lazima wasafiri Tanzania sio kisiwa".....Mgogoro wa Uchaguzi Zanzibar ulipoanza alisema
"Mabalozi wasituingilie mambo yetu ya ndani"....
JUZI hiyo hiyo kasema "Wenzetu wa nje wanatushangaa sana uchaguzi kufutwa wote"....... (Copied)
KUMBE MZEE BADO ANAUMIA KWA KUMWACHIA JIMBO #NAPE KISHA AKAKOSA #URAIS NA #JPM AKAMTOSA KWENYE UTEUZI WA UBUNGE/UWAZIRI...
Kwa taarifa yako Mzee wa Mtama, siku 7 zinatosha sana kuandaa hesabu za biashara yoyote inayoendeshwa kwa misingi ya uwazi na ukweli...maana kila siku ina kumbukumbu sahihi za shughuli husika na kunakuwepo na taarifa ya siku husika, wiki na mwezi...kuziunganisha inakuwa sio ishu...tatizo ni pale biashara inapoendeshwa kimagumashi kama ilivyokuwa imezoeleka....."
KUMBE MZEE BADO ANAUMIA KWA KUMWACHIA JIMBO #NAPE KISHA AKAKOSA #URAIS NA #JPM AKAMTOSA KWENYE UTEUZI WA UBUNGE/UWAZIRI...
Kwa taarifa yako Mzee wa Mtama, siku 7 zinatosha sana kuandaa hesabu za biashara yoyote inayoendeshwa kwa misingi ya uwazi na ukweli...maana kila siku ina kumbukumbu sahihi za shughuli husika na kunakuwepo na taarifa ya siku husika, wiki na mwezi...kuziunganisha inakuwa sio ishu...tatizo ni pale biashara inapoendeshwa kimagumashi kama ilivyokuwa imezoeleka....."
![]() |
Davy Dizzo Hajielew huyo
Jumanne Mgundu Aiseee huyu mzee atajivunjia heshima yake kiukweli
Kimani Whitehead Keyman Mbona unamwiga maneno aliyoandika Edo kumwembe, create yours
Saidi Hemedi NA MEMBE NI YULE YULE.
Justin Menye Membe kasema ukweli nyie mnavyokavyoka tu
Peter Kalihose Swali ni kwamba. .upi ni ukweli? Ni kauli zake za awali au hizi za juzi??? Tusaidie..
![]()
Mashaka Kapange Nadhani Kikwete alimhakikishia kurithi urais. Kaukosa ubongo unamyumba.
Remigi Us Tumain We katulie tu mzee make kila ukija na jipya unachanganya tu watu, mzee tunza heshim yako ya zaman bana ,
Renatus Maya SIKILIZENI BASHE AMEISHIWA CHA KUSEMA MEMBE YUKO SAHIHI KWA MAONI ALIYOTOA ACHENI KUTUKANA WEWE MBENA UNAPOTOA MAONI WATU HAWAKUSAKAMI, ACHENI KABISA MEMBE YUKO SAHIHI KABISA
Peter Kalihose Mtu mwenye ndimi mbili anakuaje sahihi?? Tunavyowaita Nyumbu watu aina yako wala hatukosei...
Renatus Maya MBONA MKAPA ALITUTUKANA WATANZANIA KUWA MALOFA MBONA MLINYAMAZA ETI MEMBE ANATOA MAONI YAKE JUU YA UTAWALA UNAVYOKWENDA MNAMSAKAMA DUUULIIKOOONYIEEE
Gasper Tryphon Kisinza HOJA ZA MEMBE ZIKO SAHIHI SANA....KAMA KUNA HOJA ZA KUJIBU ZIJIBIWE KWA HOJA......KUKOSOLEWA NI SUALA LA MUHIMU KWA KIONGOZI MWEREVU.....YUKO SAHIHI.....
Massery Senzya Mfinanga Waswahili wanasema jinamizi la uchaguzi sasa huyu jamaa anasumbuliwa na jinamizi la uchaguzi
Joan Donisya Thomas Duuuuuu kumbe ugonjwa wa kuweweseka upo???
Saidi Hemedi MEMBE APELEKE HOJA ZAKE KWENYE VIKAO VYAO VYA CCM NA HUKOHUKO WATAMJIBU,HUMU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII ATAVUNJIWA HESHIMA TU.KUNA WATU WAMEPINDA.
Renatus Maya HAKUNA HAJA YA KUPELEKA KWENYE VIKAO VYA CCM MAANA HAKITA JADILIWA KITU JAMANI HAYO NI MAONI YAKE MBONA HAMUELEWEI VIPIIIII?
Derick Jordan Johnson Membe endelea kufunguka
Renatus Maya UNAJUA WATU WA CCM WENGI WAO HAWAENDA KULE NI AKINA OOOOOO, NDIO MAANA MTU AKIWASOKOA TU WANAKUWA KAMA WAMEMWAGIWA MAJIMYA MOTO KUMBE MAONI NI KITU CHA KAWAIDA KINACHOTAKIWA KAMA UPENDI TOA MAELEZO YA KUTOSHA YANAYOJIBU MAONI HAYO, SIO KUKASILIZA HADI MISHIPA YA SHINGO INAKATIKA UTAKUFAA PASIPO KUELEWA
Peter Kalihose Gasper Tryphon Kisinza Zipi ni sahihi, zile za kwanza au za pili? Na vipi, mtu mwenye ndimi mbili kwenye jambo moja anakuaje sahihi???
Renatus Maya MEMBE SEMA ASIKUSUMBUE MTU ILI MRADI HUVUNJI SHERIA ZA NCHI, YOTE NAYAUNGA MKONO
Benatus Marwa Nyambory Huyu wala kumjadili ni kumpa kichwa ni kumpuuuza tu
Saidi Hemedi KAMA HOJA ZA MEMBE ZINGEKUWA NA MASHIKO WATU WANGEZISHIKA LAKINI HIZO HOJA ZAKE ZINA MASHIMO WATU WAMEZISTUKIA,NDIO MAANA WAMEANZISHA LIGI.
Renatus Maya HOJA ZAKE ZINAMASHIKO NDIO MAANA WANA CCM WANAZIJADILI KAMA UNGEKUWA NI UPUUZI WASINGEZIJADILI, YUKO FITI YUKO SAHIHI SANAAAAAA HUYU MTU ACHENI KABISA WEWE SEME ALIPOKOSEA SIO UNBWATUKA TUU, YEYE AMEELEZA KWA HOJA NA WEWE JIBU KWA HOJA SIO UNATUKANA SAWA BASHE, ACHA HIZO
Renatus Maya YESI HAPO SAWA KABISAAAAAAA
Peter Kalihose Hahahahaa, nyumbu wazew Renatus Maya na Zawadi Beatus Lupelo hakuna aliemjibu . Tunamkumbusha tu awaambie watanzania, kwanini anatoa kauli mbili mbili kwa ishu moja? Tunataka kujua ni yeye alietoa kauli hizo mbili mbili au moja kabambikiwa...akishafafanua hapo ndipo atajibiwa. So far, anaonekana kama amechanganyikiwa kwa kiwango cha lami...
Pius John Kiwaryalema Kumbukeni Watoto wetu Wanaandika:
CCM Jibuni swali hili Acheni kumshambulia Maoni ya Membe !.
Khamis J Katimba He nyumbu wanamuunga mkono membe Leo?! Hawa kweli nyumbu!!!!
Saidi Hemedi MBONA HAYO ASIYASEME WAKATI AKIWA WAZIRI ? SAFARI ZA NJE NDANI YA MIAKA MIWILI TU PESA ZILIZOTUMIKA NI HATARI,KWA MIAKA YAKE NANE YA UWAZIRI ZIMETUMIKA NGAPI ? LEO KWAKUWA HANA CHEO HATA CHA MWENYEKITI WA KITONGOJI NDIO ANAYAONA HAYO.MIMI BINAFSI SIMUELEWI.
|























0 comments:
Post a Comment