Nimesoma taarifa ya #TAKUKURU
kuhusu kesi zaidi ya 30 na mashauri 4 mazito yanayopelekwa mahakamani
hivi karibuni. LakeOil anatuhumiwa kukwepa kodi tshs 8 bilioni na kupewa
miezi 2 walipe. IPTL/PAP inalipwa kila mwezi 8 bilioni na #TAKUKURU
wameufyata kueleza umma hatua wanazochukua. Miezi 3 sasa toka Magufuli
aingie madarakani, Harbinder Singh Seth keshavuta tshs 24 bilioni. Kama
kawaida tunaanza kuona PR work ya vipaza sauti wa IPTL/PAP wakipewa
kurasa za mbele za magazeti makubwa na yenye heshima nchini. Usaha wa
jipu la IPTL unanuka
Nimesoma taarifa ya #TAKUKURU kuhusu kesi zaidi ya 30 na mashauri 4 mazito yanayopelekwa mahakamani hivi karibuni....
Posted by Zitto Kabwe on Tuesday, January 26, 2016

0 comments:
Post a Comment