Tuesday, January 19, 2016




MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo'CHADEMA' ambaye pia ni Mwenyekiti mweza wa UKAWA na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameibuka na kudai kuwa mara baada ya kufanikiwa kuibuka kidedea katika nafasi ya umeya katika Halamshauri za manispaa ya Ilala na Kinondoni hivi sasa akili yao wameielekeza katika kuziongoza manispaa hizo kwa weledi.

0 comments:

Post a Comment