MREMBO ambaye anatikisa hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, Wema
Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram aliandika maneno
ambayo yalionyesha ni diss ya wazi kwa Diamond na kumpaisha Ali Kiba.
Diamond hivi sasa anajiita Simba jina ambalo mastaa wengi wanalimezea mate.
-Walikuwa wanasubiri na mimi nitaje jina langu la mnyama, mimi ni
Mnyanma ndiyo na jina langu ni Wema kama balozi wa wanyama
alivyosema’ aliandika Wema
Wataalamu wa mambo wanasema balozi aliyetajwa
hapo ni mkali Ali Kiba kwa sababu ni balozi wa kutetea haki za wanyama
kupitia taasisi ya Wild Aid

0 comments:
Post a Comment