Kuelekea kutoka kwa album yake mpya Rihanna amekamilisha utengenezwaji wa video mpya ya wimbo aliofanya na Drake.
Album ya “Anti” ni miongoni mwa album zinazotegemewa kutoka mwaka huu zinazosbiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki. Video imefanyika Los Angeles Marekani na inasemekana Dj Khaled pia kaonekana kwenye video hii.
Album ina nyimbo 22 na wimbo alioshirikisha Drake unaitwa “1988.”
0 comments:
Post a Comment