Tuesday, January 12, 2016

Neyo
Msanii wa rnb Neyo ameripotiwa kufunga ndoa hivi karibuni na mpenzi wake Crystal Renay. Mwaka jana Neyo aliweka wazi kuwa anategemea kupata mtoto na mpenzi wake huyu. Mpaka sasa tarehe ya harusi imethibitishwa kuwa itakuwa mwezi wa pili 20 February 2016.

Neyo aka Shaffer Chimere Smith atafunga ndoa kwa mara ya kwanza na Crystal Renay ambaye ni mwanamitindo.  Neyo ana watoto wawili na mpenzi wake wa awali Monyetta Shaw.
Crystal Renay 2 Crystal Renay 3 Crystal Renay 4 Crystal Renay 6 Crystal Renay
IMG-6393  Screen-Shot-2016-01-08-at-12

0 comments:

Post a Comment