Rapa Future aliyepata mafanikio makubwa kwenye muziki mwaka 2015 na kupata mtoto na msanii wa rnb Ciara ametoa maelezo juu ya urafiki wake na Ex wa Tyga ‘Blac Chyna’.
Kwenye mahojiano na BBC Radio 1Xtra Future ameongele kuwa na Blac Chyna kwenye video yake ya “Rich $ex” nakusema “Nilihisi kama tunaendana sana,nilitaka kukamata uzuri wake na kuutumia, ila tuko poa na ni mu wangu,sisi marafiki tu”
0 comments:
Post a Comment