"Kwani Lilian Kwayu
unashida gani na mie unataka nitoa roho yangu,mbona unapenda
kunifatilia hivyo,nilinyamaza kimya bado unaniongelea vibaya,mbona
hatufanani Kwa chochote,
c Kwa uzuri Wala kimaisha,nini unahitaji kwangu,niambie basi,kuliko kunipakazia uongo,kifupi tu wadada wanaonifahamu wamefunga safari mpk kwangu maana uliyoyasema hayafanani na wanavyonijua,sasa basi naomba twende sawa,maana huku umekopa hela za watu,wenyewe wanakuja kuniuliza watakupata vipi,umeazima nguo za watu,begi la kusafiria
Kisa umekwenda ,,,,,,,,,,,, la moyoni,umegombanisha wadada Wa watu,lakini mungu nimwema uliyoyasema yote nimekuja kubwagiwa hapa,nitahakikisha nitakutia aibu ya mwaka na huko uliko na kuja uyafanye uliyonifanyia,ila elewa kuwa watu tumezaliwa na nyota,huwezi kuizima labda mungu apende,kwenda hapo maneno mtaa mzima,unawapa dada za watu maneno,kama umekwenda London,..twende basi na huko kwingine labda utajifunza mamaee mtu mzima ovyo tulia Mdada maisha
tumekundisha wenyewe tutakutia aibu,hiyo ni trellar,mumeo anajua umekwenda fanya nini,ila safari sikuachi nimekuchoka why why unanifatilia mtu mzima uso umekuparama... sikuogopi na nimefanya hivi ili twende sawa,taarifa zikufikie mapema,"

0 comments:
Post a Comment