Posted by Williammalecela.com on Tuesday, January 19, 2016
Ubuyu umenyakwa gramuni gramuni…. ni baada ya mwanashosti anayetesa
kunako tasnia ya filamu nchini, Wema Sepatu kubandika kwenye akaunti
yake ya Instagram picha ya rafiki yake wa karibu ambaye pia ni mshindi
wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan na kuandika maneno yafuatayo.
0 comments:
Post a Comment