Wednesday, January 6, 2016

Wastara Juma Issa.
"Mashabiki wangu mwaka umeanza vibaya kwangu,nyumba zangu 2 zimewekwa x,na zitabomolewa siku yoyote kuanzia leo,siko sawa kabisa niombeeni dua presha imepanda,nawapenda sana
‪#‎HAPA‬ NI KUBOMOLEWA TU."


Comments
Geologist Asiye Na Ajira
Geologist Asiye Na Ajira Ushaanza kuisoma namba siyo ??
Like · Reply · 2 · 43 mins
Bernard Malebo
Bernard Malebo Pole, Mwnyz Mungu akupe nguvu ushinde hili.
Renatus Kivike
Renatus Kivike Hapa kaziiii tuuuuu
Like · Reply · 1 · 37 mins
Leticia Mhagama
Leticia Mhagama Mmeipenda wenyewe, Pole my dada, Mungu akutie nguvu
Rossan Samuel Mbelwa
Rossan Samuel Mbelwa Ccm INA wenyewe
Like · Reply · 1 · 34 mins
Abdul Gedo Ally
Abdul Gedo Ally mwache abomolewe tu
Like · Reply · 1 · 34 mins
Renatus Kivike
Renatus Kivike Mmejipendekeza na kutengeneza keki kubwa ambayo hujafikiria hata siku moja kufanya hivyo kwenye siku ya kuzaliwa baba au mama yako
Like · Reply · 2 · 34 mins
Andrew Laly
Andrew Laly pumbavu ndio mulikua kimbelembele kipindi cha uchaguz sasa hapa kaz tu
Like · Reply · 1 · 33 mins
Danny Sonde
Danny Sonde
Danny Sonde
Danny Sonde Hapa kazi tu
Like · Reply · 3 · 32 mins
Solomon Saitabau
Solomon Saitabau hajui kusoma no? ccm mbele kwa mbele
Like · Reply · 1 · 32 mins
Mashaka Tamba
Mashaka Tamba Masanii kama ww unajenga mtoni pole
Like · Reply · 1 · 30 mins
Rossan Samuel Mbelwa
Rossan Samuel Mbelwa Mmmmh mpk rahaaa
Like · Reply · 1 · 30 mins
Renatus Kivike
Renatus Kivike Eti mama ongea na mwanao ameshaongea tulieni dawa iwaingie hapa kazi tuu
Like · Reply · 1 · 29 mins
Renatus Kivike
Renatus Kivike Malipo Ni humu humu
Ken Saiti
Ken Saiti Hebu nikubusheni ule wimbo WA kampeni
Lucas Heri
Lucas Heri umeipenda mwenyewe chaguo lenu wenyewe hachaeni waisome namba ee ccm mbele kwa mbele...sijui nimeupatia
Omary Challesy urishangiria ariposema hapa kazi na leo tukuombee wakati maripo ndio hayo ya kumshangiria bomoa zote mwisho mtakumbbuka mabadiriko ya rais wangu rowasa
Kennedy Msoma
Kennedy Msoma Bado tuu hawajabomoa? Niwapigie cm ili uisome namba
Seleman Thabit
Seleman Thabit Na bado mliependa wenyewe na mlizunguka nchi nzima kunadi chama so ulichovuna kajengee nyumba nyingine kma ulilia bata pole yko
Danny Sonde
Danny Sonde Hatunywi sumu hatujinyongiiiiiii kubomoa mbele kwa mbele mmeipenda wenyewe khanka chaguo lenu milele khanka wacha waisome namba eeeeeeh bomoa bomoa mbele kwa mbele
Marcel Maembe
Marcel Maembe Pole mama!
Malick Matelephone
Malick Matelephone Umeziona faidaza ccm dada
Donatha Kimaro
Donatha Kimaro Unafikiri ukivunja sheria hakuna uko ccm wala ukawa ila tutaendelea kukipends chama chetu hats mlete unafiki wenu tumeshawazoea ninyi
Like · Reply · 2 · 20 mins
Lucas Heri
Lucas Heri waliwaruhusu hawa watu wajenge hawakuvunja sheria
Le Mutuz Nation

Justin James
Justin James pole xana
Priscus Hendry
Priscus Hendry Nani alikuambia ujenge bondeni
Juma Waziry
Juma Waziry daahy pole sana , nio mambo ya hapa kazi tuu dada yangu pole sana na jipange tena dadaa
Kimei Harold
Kimei Harold Pole sana.
Rama Pimbi
Rama Pimbi Ndio ukome ushapiki wa fisiem
Justin James
Justin James ila hapa kaz 2 mama
ZE Bosco Rufatiye
ZE Bosco Rufatiye Wameipenda wenyewe chaguo letu wenyewe acha waiiiisome namba eeee Ccm mbere kwa mbere
Like · Reply · 1 · 11 mins
Benson Lupakisyo
Benson Lupakisyo ile ile,walewale na bado mtaisoma namba kwa kuongozwa na viongozi waliokosa hekima na busara
Jackson Jackson
Jackson Jackson Ngoja Upate Faida Ya Ccm,tena Wavunje Leo,ndo Kuisoma Namba
Azaraiyya Saeed
Azaraiyya Saeed Hiyo ndo faida ya kushangilia CCM Safi sanaa


0 comments:

Post a Comment