Stori: Brighton Masalu na Mayasa Mariwata
Ulozi? Video Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ anadaiwa kutumia ‘tunguri’ kujiongezea mvuto ili kuwanasa vigogo.
Habari kutoka kwa chanzo kilicho karibu na Masogange zilieleza kwamba
kuna waganga wawili wanaompa jeuri mrembo huyo, mmoja akiwa anaishi
maeneo ya Mwenge, Dar na mwingine Bagamoyo.
Alipotafutwa Masogange alikuwa na haya ya kusema: “Sijaanza kusikia
tuhuma hizo leo lakini mimi si mtu wa mambo ya Kiswahili ujue, nimetoka
kwenye familia ya kichungaji
0 comments:
Post a Comment