Friday, January 15, 2016


Naendelea kusema Asante kwa Mungu kwa upendo ambao ndg zetu wanaendelea kuuonyesha kwa wanakinondoni hasa vijana 3183 ktk kuwajengea Secondary.
Leo tareh 15 tumepokea zaidi ya mifuko 1200 na mabati ikiwa ni sehemu ya michango ya wadau mbalimbali. Mungu awabariki sana sana sana. ‪#‎UsipigeManenoPigaKazi‬

0 comments:

Post a Comment