Friday, January 15, 2016

CONGRATULATIONS CEO......

Lovely

stunning


Vero salon mlitisha ktk swala la nywele, utaalamu tuu...

 dress by the special Dsm


friends


Beauty+Brain= CEO


  1. cogratulation to u sintah uko tunakokwenda maisha bila elimu yatakuwa magumu sana
    Reply
  2. hongeraa mamaa diplomat elimu elimu elimu haya sasa ikukomboe sawa eeh? sio uishie kuja kutuuzia kwenye maronya ronya na vilipstic hapa huku ukiwa umehifadhi vyeti uvungunii.. na wale wauza virginal endeleeni kuuza na kubadili mibolo kila siku hamjui miboo inazeesha eeh? uza sana manake hakuna namna miss role model yani badilisha mboo sana k yako mwenyeweee wala hukuazima tiwa mama tiwaaa….
    Reply
    Replies
    1. ha ha haaa lol! fainali uzeeni kama ukimwi ukipita hiviii………. ila kwa mboo mix deile na maradhi haya mmhh!
  3. hongera!
    labda utapunguza kuandika umbea mbea! tutaona kuanzia jumatatu kama utaandika mapoint tutajua umegraduate mind pia!!! tehee teehee
    Reply
  4. kumbe kweli ulikua unasoma,na kisomo chako chote bado huna kazi unablogua tu?makubwa haya.visomo vya kulala na malecturer ili upate vyeti lkn kukifanyia kazi cheti ndio kushineh..tafuta kazi basi kwenye ma ngo ndo tukuone kweli ww msomi
    Reply
    Replies
    1. ila mama nanihii na masters juu ila ndo kaishia kuuza hadi boro umeme ha ha haa ati mjasiriamali loh! siwezi kuwahold degree mbili nianze kuuza maronyaronya kama ni biashara kwa nini usifanye ya kueleweka na kudumu kuliko kila leo kubadi badili ka vile hujaenda shule? kuna watu huwa wanatafuta tuu vyeti kichwani bure kabisa.
      wengine akili kubwa degrees 3 unaishia kubloguwa eish!!!!!
      sintah tafwaa tunataka tukuone ukipiga mzigo wa kueleweka!
    2. Lol! Hivi unajua ku-blog wengi ni hobby tu!!
  5. makeup haijakukaa vizuri imekupausha then ukoanekana kama umezeeka vile, next time chagua makeup nzuri.
    Reply
  6. Ulikuwa unasomea nini vile?
    Reply
  7. Hongera sana kwa kuhitimu. Sasa jitahidi na kwenye kuandika na kuweka koma,nukta na herufi kubwa mwanzo wa sentensi au baada ya nukta vinakushinda.Jitahidi uandike kama msomi.
    Reply
  8. Hongera sana our C.E.O
    LE AKILI KUBWAZ
    Reply
  9. hongera mwaya, n makeup by urself chaaa pua imegoma contouring usoni shagalabagala!!!, wish ur education will not only put food on the table for ur family but also help society as u have blog it may one wisdom words from u can make change for some people n not insulting peoples as ur very good at it,,, anduuu "hubby" hajaja kwenye graduation wapi pichoo!!!??
    Reply
  10. hongera sinta iron lady wachache wapo kama wewe mwanamke elimu
    Reply
  11. Hongera mwaya sintah, naona umeamua sasa, kila la heri na Mungu akusimamie. Naona watu amekaa kimya leo hawachambi maana hawana la kuchamba, ila binadamu hatukosagi la kusema, badala ya kukupa hongera watakuja hapa kuandika shombo, ila langu kwa leo ni neno hongera tu my dear.
    Reply
  12. niisubili kwa ham sana hii post hongera hongera kwa upendeleo tu nijibu nijione super star
    Reply
  13. CONTRATULATION MY DEAR.
    Reply
  14. Hongera Sinta. Onesha mfano kwa mabinti wanaopenda vya bure wasiotaka kusoma. Sijui umesomea nini but whatever it is may God bless your career. Comment by #WOMENWITHPOSITIVEMIND
    Reply
  15. Hongera Sintah
    Elimu haina mwisho
    Bora uloongeza ujuzu na Elimu ya umbea
    Mungu kakufungulia umepata degreee ya unafiki na umepewa cheti chenye shahada za wivu kwa maisha ya wenzio
    Nakuombea kila la kheri ujiajiri ktk mema sio uakuandika yule kachukua bwana wakati wewe mwenyewe sawa na bajaji
    Hongera kwa kumaliza masomo yako bi chakunabe
    Reply
  16. hongera sinta umesoma kozi gani?
    Reply
    Replies
    1. pre- form one tu.
    2. hahahaha aaahh jamaniiiii hhmm!!
  17. Congratullations Sinta! am happy for you
    Reply
  18. Hongera sana! Tunatumai elimu uliyoipata itakukomboa
    Reply
  19. Congs Sintalicious . Yeah Beauty and Brains make an attractive woman!
    Reply
  20. Watu humu wanapenda ku comment sinta acha umbea, mara acha kuandika ya watu wakati wao wenyewe kinachowaleta huku ni kusoma umbea na kuhukumu wenzao. Naona wengi hawajui maana ya blogging. Anyway Sinta big up, endelea ku blog, I hope saive utaboresha blog yako jaribu kuweka vidude vya like na dislike. As a blogger usipendelee wala kuonea wala kuogopa mtu.....blog wisely na be more creative katika uandishi wako tafadhali. Hakuna mtu alie perfect inajulikana lakini katika kurekebisha wadogo zetu ambao siku izi wanajiuza sana na wameharibiwa na social media jaribu ku blog kwa kuwashauri zaidi ya kuwahukumu. Alafu pia uwe unatembelea blog za nchi za nje..Nigeria, Kenya, USA, SA n.k ili ujifunze mbinu tofauti za blogging za wenzetu. Ukiufata huu ushauri wa msomi mwenzako utafika mbali i tell u, blogging pays alot if your serious. Love you Sinta and all the best.
    Reply
    Replies
    1. NOEL KIHUNRWA
      we nawe umelalaje na umeamkaje??
      Sasa ukiingia BLOGS Zote ipi inayozungumzia maisha ya watu????
      Ni Sintah blog tuuuu
      Asiogope mtu kwa maisha gani alonayo ya kutekebisha ya wenzake
      Kama uhuni aliupitia ujanani Sinta alivuma enzi zile kaa ugonjwa uso na dawa unawasumbua wataalamu.
      Kwa sasa hana pakuonekana ndo anajutia na kumalizia hasira kwa wadada.
      Kiboko yake Dida TUUU
      Alosoma nao wote wanamaisha wengine tuko majumbani mwetu YY Bado anatafuta degreee za kuandika ya WATU
      Nipe BLOGS za ulaya zinazoandika fulani Kakaa uchi kafumaniwa .
      We utakuwa ulaya BULGERIA ,Spania,Rumenia , Portugal AU Cypern huko wananchi asilimia 50 masikin kaa bongo
      Mtu mwenye u busy hana time ya kublog ya watu
  21. Congratulations dear...Unastahili pongezi dear.. af humu watu wakuda.. mfyuuu
    Reply

0 comments:

Post a Comment