Mume wa msanii wa Nigeria Tiwa Savage amemwita Don Jazzy ‘The Best’ nakutoa sababu za kufanya hivyo. Teebillz anasema
“Don Jazzy ameanza mbali na lebel kama Mo Hits,ametoa vipaji kama D’Banj,Wande Coal, Dr Sid, D’Prince na sasa kupitia Marvins amewatoa vijana wapya kama Korede Bello, Di’Ja, Reekado Banks, Tiwa Savage, Don Jazzy atabaki kuwa namba moja Nigeria, kawatoa wasanii zaidi ya 10 ndani ya miaka 10 na wote wana kazi bora“.
0 comments:
Post a Comment