Monday, January 25, 2016

davido-one-of-a-kind
Wiki iliyopita Staa wa muziki kutpka Nigeria David Adeleke aka Davido alitia wino kwenye mkataba mnono wa dola milioni 1 za kimarekani kupitia kampuni ya muziki ya Sony BMG Music ambao makao yao makuu yapo mjini New York.

Davido aliandika hivi twitter “to all those that doubted me, its a done deal! First African artist to sign a global record deal!! My story is just starting!! My mother is smiling in heaven right now!! Sony Music Entertainment!! Owo ti wole.”
Dili hili limewwzeshwa na Mnigeria aliyezaliwa Marekani ‘Efe Ogbeni’ ambaye kwa sasa ni partner na rapa Nicki Minaj kwenye project ya Parker Ighile.
Meneja wa Davido Kamal Ajoboye pia nayeye amehusika kwa asilimia kubwa zaidi.
Davido ambaye ni mmiliki wa lebel ya Honorable Kings of New-school (HKN) ametajwa kuwa msanii wa kwanza Africa kuwa na dili kubwa la usambazaji wa muziki kama hili.

0 comments:

Post a Comment