Monday, January 25, 2016

Kylie_Jenner_18
Rapa Tyga amepigwa picha hivi karibuni akiwa na mwanamke mwingine aliyefanana sana na mpenzi wake Kylie Jenner.

Mwanamke huyu amefanana na Kylie kwanzia muonekano,tembea na sura yake, taarifa zilizoenea kwa sasa ni kuwa Kylie na Tyga wametengana kwa muda mfupi mpaka mambo ya skendo za Tyga kupotea.
  0122-tyga-fame-4

0 comments:

Post a Comment