MUOSHA......HUOSHWA
![]() |
| Hamissa |
![]() |
| Lulu |
![]() |
| Zuhura Gora |
Wajameni nadhani kila mmoja wetu anaelewa ule msemo wa muoshwa huoshwa, hivi mnavyomtukana Lulu huko Instagram mnanichekesha kuanzia lini Hamissa alikuwa rafiki yake Lulu? sasa tulia niwape mkanda huyo bwana Hamissa anayesema kaporwa na Lulu naye hakuwa wake alikuwa wa shoga yake mpenzi anayeitwa Zuhura Gora, sasa Zuhura anaenda na BFF kama mnavyosema watoto wa mujini loooh Hamissa akamuopoa na akamzalia bwana wa rafiki yake, sasa nani ana matatizo na nani ameiba bwana wa shoga yake kati ya Lulu na Hamissa? msipende kuropoka ropoka na kuona huruma zisizokuwa na mwanzo wala mwisho, waswahili wanasema malipo ni hapahapa duniani wewe Hamissa huyu MR M hakuwa shemeji yako? sasa kwanini ulimsaliti BFF wako na ukampora bwana? na leo unaenda katika vyombo vya habari kutafuta public sympathy kwamba umeporwa bwana na wakati huyo bwana alikuwa wa shoga yako, jamaniii nimeamua kuivalia hii issue njuga kwakuwa nimechoshwa na watu wanaojifanya wasamaria ma mother Theresa kumbe hawafai, am not here kumpendelea mtu ila nasema wote hakuna wa kumlalamikia mwenzie wacha game iendeleeee ndio mambo ya mujiniiii kuibiana madanga mchezo mmeuanzisha wenyeweeee..... chanzo cha habari kinasema Hamissa na Zuhura ni kama maji na mafuta sasa loooh kisa baby dady wa Hamissa, jamani mujini raha sana....
ILANI
wasichana wa mujini ni kama sumu ya panya weka mbali na watoto haya mambo ya kuitana oooh nipo na BF wangu nisindikize mkome wanawaniii, kama una danga lako kalichune mwenyewe lichunikeeee mpaka ila usiende na mtu, utaachwa kwenye mataaa ya migomigooo huku wengine wanajilia raha, hakuna kitu kinauma kama uporwe bwana na shogayooo kaaa halafu liwe danga danga kweli
AnonymousNovember 24, 2015 at 8:49 PMSintah mbina ubania kutupo story naskia kajala anamimba ya domo .. Unaambiwa queedarleen,halimakimwana ndugu wote wanajua ..na alivyo fiwa na Bibi yake, domo alimuomba kimwana aenda na kajala kijijini kwao kumuwakilisha ... Duh huyu kajala ni Malaya hatari..Reply
AnonymousNovember 24, 2015 at 9:17 PMKumbe sinta umekir kwamba hakuna kitu kinauma kama kuporwa bwana ni rafk nashukuru umelitambua hilo, lulu keep shining mtt kwa kuopoa hujambo ndo maana unaendelea kupendezaReply
toto ya sintahNovember 24, 2015 at 9:18 PMhe he he he mjini akuna ushoga jmn me na rafki yangu kama ndugu nilimfanya hd kukaa kwangu mwisho wa cku nilikuja kujua anadate na mchumba wangu utakuta tumekaa sehemu na bby wao wanachart kimya kimya jamani nyie inauma asikwambie mtu back 2 Lulu ht km unamtetea na yy ila kazidi kubeba waume za watu jmn khaaa c arun circle yake mwenyewe jmn...Reply
AnonymousNovember 24, 2015 at 9:24 PMstill doesn't gives right lulu kuchukua bwana wa mwenzie hamisa si bwana tu bali ni baba mtoto wake her little girl my furendoo, na ako kiandunje chenzio kamezoeaaaa jameni kwani ana nyota ya gani uyu mtoto hapati wa kwake peke ake!!! any way am saving ur option for next tym i know very soon i will paste wat u wrote here 2day very very soon my furendoo wen turufu ikigeuka bi andunje weweReply
AnonymousNovember 24, 2015 at 9:41 PMUtaporwaje kama mtu mwenyewe hakuwahi kuwa wako in the first place. Girls acheni kujishusha bwana kama haja "put a ring on it" in Beyonce's voice hahaha sio wako that is that. He has never been yours to begin with so he is available for a grab, anyone can have him. According to me huyo Mr. M si wa Zuhura, Hamisa wala Lulu until further notice. Ni hayo tu.Reply
AnonymousNovember 24, 2015 at 10:04 PMmadame sintah siku lulu atakapo nyakua diamond anayemmendea tafadhali tiririka hivyo hivyo usipindishe mahali madame, ok byeReply
AnonymousNovember 24, 2015 at 10:23 PMhuyu lulu nae sasa ataogowa na mashoga khaa mwanamke gani kila siku kubeba mabwana wa mashoga zake kisa tu asikie kuna noti za kutosha,na nyinyi wadada wa mujini kwa urembo tu Mungu kawajaalia ila common sense na kujitambua aisee ni 0 manake mko bize kujiharibia kwa kuzaa zaa hovyo bila ndoa na kushindana kunyang'anyana wanaume, Pole sana mana mnaangamia kwa kukosa ufahamuReply
AnonymousNovember 24, 2015 at 10:44 PMSioni tatizo kama na yeye alimpora shoga yake ni sawa tu. Alijishaua kwenye arobaini ya tifah kujifanya anamjua sana Zari hahahahahah kumbe inauma eenh daaadeki lulu kula raha kwanza ulivyo kama mdoll achana na wenye sura kama mbuzi wa hitma karma is a bitchReply
AnonymousNovember 24, 2015 at 10:59 PMme siwatetei ata mmoja uvivu wa kufanya kazi na kutaka kuishi maisha ya juu ndio kinatufanya tunashindwa kujithamini, sidhani kama mtu unajipatia kipato chako uanishi maisha yako ya kawaida utarubunika kuchukua bwana wa rafiki yako, we ukiamka asubuhi uanwaza nguo ili upige picha uweke instargram, kazi huna biashara huna huna income yoyote ya kukuingizia kipaato unaategema nini labda, Lulu hawezi kubadilika mpaka anaingizwa kaburini acheni kuishi maisha ya INSTRAGRAM jamaniReply
AnonymousNovember 24, 2015 at 11:13 PMhttp://theyouthjob.com/?ref=8835Reply
Wakati tunafuatilia umbeya tutafutage na hela kidogo
AnonymousNovember 24, 2015 at 11:37 PMSinta I remember hamisa alivoanza kuwa star u wrote here and say umrkabidhiwa namamake umlee ukawa unammwagia sifa kibao.wats wrong wit u���� au she didn't meet vigezo namashart yako.today ua here insulting here. Wonders shall never end!!!!!!!!!!!×!!!!!!!!!Reply
AnonymousNovember 25, 2015 at 1:01 AMhuyu hamisa simuelewagi kwanini anatoa macho sanaa yaani anaagalia kwa kukaza macho hata akipiga picha,, halafu anavyoji edit sasa na ule wanja plus mkazo wa macho huwa ni balaaa hahaaaaa najiedit ad anakuwaje sijui ...nilikutana nacho somewhere jamani ista hizi wadoo zetu msidanganyike khaa...ni full edition full fakeness ya look unamuona mtu kaa malaika mwarabu si mwarabu muhindi si muhindi onana nae sasa...halafu misa sijui sura yake pembe nne kutwaaa kujibebisha kasura na vitendo embu ingini ista yake pale anapoimba taarabu yaani sura umbo mraba kabisaaa...ananiuzi kujipigisha picha uchiiii na vichupi eti (I get paid to look model msonyoooooo) ndio uchi uchi no wonder baba mtoto anaruka coz hamjakaa ki wife material ...jamani dar hii mrembo ni NARGIS MOHAMED tu ...dada anajistiri sana na kuishi normal life hataki makuu,,,sio hawa wa kujitutumua mitandaoni kwa upuuzi kila dakika I wish magufuli afunge kabisa ista page za watu wasiojielewa au wenye maonyesho halafu kipato hakijulikani kinatoka wapi ...maana ndugu zangu insta ndio chanzo cha maadili kwa wadogo zetu jamani, mtu anafight kupata wanja wa lulu,sijui lacewig ya lulu, sijui vacation wapi! sasa imekua trend jamani vitu visivyo na msingi hata .Reply
mdau 2015
AnonymousNovember 25, 2015 at 1:27 AMSINTAH WACHACWATU WALE KWA RAHA ZAOOOReply
MBUNGE WA MORO KAFUMANIWA NA MUMEWE HUKO DODOMA AKIWA NA DEREVA SASA HAWA WATOTO WADOGO NA DAMU NDO ZIMEJAAA GENYE ZINACHEMKA KWA UJANA WACHA WALE WAGAWE WATAJIJUA WENYEWE NA WAZAZI WAO .
WE DUNIA IMEKUA TAMBARA BOVU
MTT ANAZAA KWA MILA ZA KIAFRIKA SIUNAJARIBU WAOWANE WAPIIIII
MAMA ANAKWENDA NA KUMUITA MUME MKWE,
WAMAMA NA WATOTO WANASHINDANA MAKEUP ,LACE WIG NA NDO WANAMIAKA ZAID YA 50,
WE UTAPIGA KELELE ILI UPATE NEWS ZA KUWAANDIKA
MAMA ZAO WANAFURAHIA MATUNDAVYA WATOTO.TUSOMESHENI WATOTO WASIWE TEGEMEZ LA WANAUME
NDO TUTAWAWEKABSAWA KIMAISHA
LULU JIVINJARI BWANA NWENYEWE WA KUGAWANA HUYO UKILALA MLANGO WAZI ANACHUKUA MWINGINE MASNA KAZOEA KUONJA BADO HAJAPATA STAKACHOOOO
WAKIPELEKE TARATIIIIBU
AnonymousNovember 25, 2015 at 1:31 AMebu acheni ushenzi kajala hawezi kumzalia hata siku moja domo..kajala anamzalia.makonda mkuu wa wilaya ya kinondoni habati ndo hiyo masaa yote kila dakika yupo na makonda na Makonda ndo anamuweka mjini dada kajala mwachemi kumpandiaha domo chart na kumgimbanisha kajala na Zari...Makonda ndio baba wa mtoto na ukweli soon utajulikana na makonda anaenda kimara kwa wazazi wa kajala sanaaa..poleni mwacheni domo wa watiReply
AnonymousNovember 25, 2015 at 2:02 AMbila kuwataja diamond na zari kuna watu hawapati stimu humu. MTANYOOOKA TUReply
AnonymousNovember 25, 2015 at 2:03 AMhako ka zuhura kazuri kweli..bora kajikalie ivo ivo kimya..huyo lulu hivi hawezi kutafuta wake mwenyewe? adi wabibi anawaibia waume duh!! na huyo hamisa ndo ajue kuwa what goes around comes around!!The same applies to huyo latest thief!!but all in all huyo mwanaume shame on him asojiheshimu wala kuheshimu wanawake..aibu na impate katika jina la alie hai..kitombi wahed!Reply
AnonymousNovember 25, 2015 at 8:28 AMKWANI YULE BOSS MUTOTO WA LINAH KASHAPIGWA KIBUTI? MAPENZI YA INSTA JAMANI!! AU NI KICK TUU YA NYIMBO MPYA IJAYO YA LINAH?Reply
AnonymousNovember 25, 2015 at 10:08 AMjamani nina swali.....hivi madam wa open kitchen ni mzima kweli kichwani? maana picha zake ni mpaka kitandani mara ooh hubby likes to sleep on my chest,kiruuuh!!! nkikii? insta inawaheusha watu sio wototo pekeyake mtu mzima yuleee na alivyo sasaReply
AnonymousNovember 25, 2015 at 11:08 AMhako kalulu kameanza kanataka kutoa kafara tena!!! Hamisa mdada mzuri na hata Zuhura naye mzuri bora basi angerudi kwa Zuhura jamani eee!! (halafu hayo majina kama ya ndugu zangu Zuhura + Hamisa nayapenda sana hayo majina jamani) halafu wenye majina hayo wanakuwaaga wazuriii!! siyo hako kalulu shuntama lo!!!Reply


AnonymousNovember 25, 2015 at 7:11 PMIli movie kama la exbestie angu mtaa wa kati greenbelt apo alikwiba danga la mwenzie akalizalia naye danga likazolewa mazima na exshoga yetu mwinginewe naye akazaa halooooooooo #bitches cant be trusted tchaiiiReply
AnonymousNovember 25, 2015 at 10:12 PMUyo hamisa atulize mshono ni changu kama machangu wenzie kabeba waume za watu mara ngapi mbona wake zao awakumwanika kumbe mkuki kwa ngurue kwa binadamu mchungu na wanaotukana ni ao makahaba wenzie wanasahau ukiuwa kwa upanga nawe lazima ufe kwa upanga wameachwa watu na ndoa zao na watoto ijekuwa wewe ata barua ya uchumba huna tuliza boli raha ya ngoma ni kucheza ulivyokuwa unatembea na waume zetu basi nasi tuliumia vivyo ivyo ndio ujifunze otherwise utaendelea kuteseka ivyo ivyo mume anauma kama bf kakuuma ivyo jua wenye ndoa halali wanaumia zaidi iwe fundisho kwa wote wezi wa waume za watuReply
AnonymousNovember 26, 2015 at 12:05 AMjamani hamnaga mwanaume wa mtu labda kama ni mume wa mtu,kibaya alichofanya hamisa ni kubeba bwana wa rafiki ake but kwa Lulu me sioni kama ana tatizo kwanza sio mashoga na hyo hamisa pili yule sio mume wa mtu.Mfano mwanaume akikufata kukutongoza c lazima alikuwa na mahusiano hapo nyuma sasa inakuwaje unasema Lulu nae kazidi?lol akitembea na waume za watu shida sasa hv kapata mvulana napo kazi.mtamoa damu za pua bureeeReply
AnonymousNovember 27, 2015 at 10:17 AMNgoja niwambie huyo Mr ni malaya wa kutupa hafu tabia yake ni kuzalisha watoto wa atu. Ana mtoto mkubwa wa kiume alizaa na Dada mrembo kuliko hao sio wa mjini mdada alikuwa mzuri huyo, anyway Hamisa Hali ya maisha ndio alivyoona kale kajumba akajua ni ka Mr kumbe Mr hana nyumba aaaah ile ni ya Cloud najua utasoma hapa, me Nina rafiki yangu ashawahi ku date yule kaka nasikia. Anakuambia live yeye Hawezi kuoa imagine upo bf anakuambia Hawezi kuoa sasa wa nini? Thou sio Wote wanaoa. Pole misa mnuka K Aaaaaah huyo sio mwanaume ulichokuwa unatafuta umepata kwa jili ya Njaa zako aaaaah lea tu




