Friday, January 15, 2016

DUNIA INA MAMBO

watu wangu wa A town mnamjua huyu chaliii

Mr n Mrs?? oooooh nouuu

huu utandawazi unatuharibu

Daaah hii dunia ina mambo sana yaani wameamua kuja  Africa na kutuolea kaka zetu, sasa hiki ni nini yarabiii, unaambiwa huyo kijana anatokea Arusha kaenda kuolewa UK looh kaka zangu msiokaa mkajishughulisha na biashara mnapenda slope hii itawahusu aiseeee, mkaka mzuri angeoa na akatulia na familia yake sasa ameolewa yeye khaaaa , bora na wale wanaodanga na kudangikaaa na kujiopolea kuliko hawa.....

0 comments:

Post a Comment