Ile baby mama drama kati ya rapa Future na Ciara imeanza tena na sasa ni juu ya mtoto wao Future. Kwa mujibu wa Future anasema Ciara hataki amuone mtoto wao na kwamba ametumia mawakili wake kumzuia asifanye hivyo.
Ciara na Future waliachana August 2014 na wamekuwa wakigombania haki za kuwa na mtoto kwa mwaka mmoja na nusu kwa mujibu wa Future.
Future aliandika twitter “This bitch got control problems,” nakuongezea kuwa anamlipa Ciara dola $15,000 kwa matumizi ya mtoto.
Future aliongezea kuwa “I gotta go through lawyers to see babyfuture…the fuckery for 15k a month, I jus want babyfuture that’s all.”
0 comments:
Post a Comment