Binti wa miaka 14 alalamika baada ya kutumiwa message mtandaoni na rapa Tyga. Binti huyu anasema “Alijiskia vibaya baada ya Tyga kumuomba kuwasiliana naye kupitia FaceTime“.
Maelezo yake yako hivi “Nimechukia kuona Jarida la OK limeweka stori yangu na kuwaongelea Tyga na Kylie Jenner, nilijua hawa ni wapenzi na nilijua Tyga ni nani ila sikuelewa kwa nini alinitafuta mimi, mara ya kwanza nilidhani amenitafuta sababu ya muzii wangu ila hio haikuwa sababu“.
Binti huyu wa miaka 14 anasema yeye hajavujisha taarifa hizi kwa Jarida la Ok na kwamba ameshanga wameandika habari hii bila kuwasiliana na mama yake.
0 comments:
Post a Comment